MAMBO SABA YANAYOLETA MAHABA NA RAHA KTK NDOA . - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO SABA YANAYOLETA MAHABA NA RAHA KTK NDOA .


Image may contain: 2 people, people smiling
1-MTOLEE SALAM MUMEO/MKEO NA UMPE MKONO KILA ANAPORUDI KUTOKA KAZINI AU MATEMBEZINI.

2-MUULIZE MUMEO/MKEO UNAPENDA NIKUITE KWA JINA GANI?MUITE KWA JINA ALIPENDALO.

3-JENGA TABIA YA KUMPIGA BUSU MUMEO/MKEO MARA KWA MARA.

4-KAA NA MUMEO/MKEO WAKATI WAKULA AU KULENI PAMOJA.

5-KILAUKITOKA MATEMBEZINI MLETEE ZAWADI HATA KAMA KIDOGO.

6-WAFANYIE WEMA WAZAZI WA MUMEO/MKEO KAMA UNAVYOWAFANYIA WAZAZI WAKO.

7-AKIPENDEZA MUMEO/MKEO MWAMBIE HONGERA/UMEPENDEZA MUME WANGU/MKE WANGU NA UMBUSU"NDOA IDUMU "

TUMA UJUMBE HUU KWA WANANDOA KWANI SHETANI AMEKAZANA KUVUNJA NDOA ZETU.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz