Ukiona hakipati anacho kipenda ama alichokitarajia wewe kubali kwamba HAKIPO KWAKO🙌 - EDUSPORTSTZ

Latest

Ukiona hakipati anacho kipenda ama alichokitarajia wewe kubali kwamba HAKIPO KWAKO🙌

Image may contain: 2 people, people sitting, living room and shoes
Kwa sababu yeye ndiye ajuaye kwanini amekikosa ila binafsi yako amini unacho, Pengine ni namna alivyokuwa AKI-IMAGINE ila angelikuja kwa kuufuata uhalisia wako angekikuta hicho wala asingetanga na njia kukitafuta kwingine,
WANAUME Wengi hawaijui sababu ya NINI KUMPENDA MWANAMKE ndo maana huparamia hovyo kisa mionekano ya wanawake, Kila mmoja na vile MUNGU amemjaalia, Kuna waliobarikiwa MAKALIO, Wapo wengine MACHO yake tu ni msalaba kwa Mwanaume, Ukikutana na aliye na DIMPOZ huyo nae anavutia kwa namna yake, Mguu wa bia🍺 huo huwalevya wengi, Uliwahi kujua maana ya uumbaji wa MUNGU kwa kumpa Mwanamke LIPS👄 nzuri mbazo hulipamba tabasamu lake? Lakini kuna Mwanamke akitembea unaweza kukaa chini umtazame miondoko yake,
MUNGU FUNDI UJUE😅😅😅
Wanaume hatujui kwanini WANAWAKE ni MAUA🎍🎉 badala yake tunawazia BIKIN👙 zao vile wanajua kuzikamatilia na kuzishusha viunoni mwao huku mkiwa kwenye chumba tulivu, Ewe Mwanamke Jitahidi kukipenda ulicho nacho hicho kinakutosha wewe kwa FAHARI YA MTU SAHIHI KWA WEWE KUWA CHAGUO LAKE💪
Usiwe mtumwa wa WANAUME Ukitaka kila Mwanaume akupende, Kwanza kataa kutazamwa na kila Mwanaume Kwani Kuna wanaume wengine macho yao ni MISHALE usije naswa na mtu ambaye atakutesa NAFSI yako,
KWAMBA UTAMJUAJE HUYO?
Fanya kama hupashwi kutumiwa na wanaume ila unapashwa kumilikiwa na MUME
Usimtafute MUME kwenye kundi la WANAUME mwisho wako ni kukosa MAANA YA MAPENZI Kwani hata TAMU HUKINAISHA.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz