HIVI UNAIFAHAMU NGUVU YA UPENDO?? NGOJA NIKWAMBIE - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI UNAIFAHAMU NGUVU YA UPENDO?? NGOJA NIKWAMBIE

Image may contain: outdoor and nature

UPENDO huleta USHUJAAπŸ’ͺ
UPENDO hujenga AMANI 
UPENDO hujenga NGUVU πŸ’ͺ
UPENDO huboresha FURAHAπŸ’ƒ
UPENDO huondoa HOFUπŸ™†
UPENDO husogeza USHIRIKAπŸ‘
UPENDO ni sababu ya MAFANIKIO
UPENDO huleta MARIDHIANOπŸ’
UPENDO ni njia ya HURUMAπŸ™
UPENDO huboresha AFYAπŸ™Œ
UPENDO ni PENDOπŸ’‘
UPENDO ni NURUπŸ‘Œ
UPENDO hutowesha GIZAπŸ‘€
Nani asiyejua maana ya UPENDO?
Waliokosa UPENDO hawakupendwa wala hawakuhisi huruma kwa walio watarajia KUWAPENDA.
Jivue udhaifu ukaijenge NGUVU ili ufikie MALENGO ambayo umejipangia, Ukiwatazama watu nyakati za TAABU YAKO wala hutawaona, Aliyekuaminisha atakuwa nawe mpaka kifo aonapo UMEELEMEWA hukimbia, Kuna ambao walikuwa nawe kipindi kile ukipanga mipango yako lakini walipoona hufanikiwi walijitenga na kujifanya wapo busy, Pamoja na yote ambayo umeyapitia ama utayapitia USIMSAHAU YULE AMBAYE ALIGUSWA NA TESO LAKO kwa namna ya udogo au ukubwa lakini kubwa ni kwamba alishiriki nawe HUYO MWAMBIE ASANTE KWA KUSHIRIKI NAMI KATIKA DHIKI ZANGU
Maana MUNGU huitazama NAFSI na KUMPENDA mwenye KUSHUKURUπŸ™
MUNGU wetu huyatangua MABAYA wakuwaziayo wabaya wako, Neno moja nimelitaka kwako MTUMAINIE MUNGU KWA NGUVU ZAKO ZOTEπŸ’ͺ
MUNGU NI PENDO APENDA WATU WOTEπŸ‘
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz