*Ni Bora kuwanzisha mahusiano Na Mtu Mwenye Kipato Cha Chini Au Cha kawaida Na Akawa Anaheshimu Hisia zako na Kukupa Furaha Kuliko kumng'ang'ania Mwenye Kipato Kikubwa halafu ukaishi Kwanye maumivu, Migogoro Na Majuto Kwenye maisha Yako Yote*
🌹Sauti iko sawa sawa au inakwaruza?🌹
No comments:
Post a Comment