MAPENZ SAWA NA MCHEZO WA KUIGIZA.LEO UTAPEWA NAFAS YA KULIA KESHO UTA AMBIWA UCHEKE NA KUNA MDA UTAITWA CHIZI...YAANI HAYA TABIRIKI - EDUSPORTSTZ

Latest

MAPENZ SAWA NA MCHEZO WA KUIGIZA.LEO UTAPEWA NAFAS YA KULIA KESHO UTA AMBIWA UCHEKE NA KUNA MDA UTAITWA CHIZI...YAANI HAYA TABIRIKI

Fanya uamuz mgumu
Kuendelea kuwa ktk uhusiani ambao huna tena FURAHA nao ni sawa na kujidanganya mwenyewe huku maumivu ukiendelea kuyapata mwenyewe
kumuacha.unae mpenda ina umiza
kuachwa na unae mpenda.ina umiza zaidi
lakin huwa ni simanz na maumivu yasiyo elezeka pale unae mpenda.hana habari na wewe.na wala.hajali hisia zako
leo.utaumia kwa kuwa umachana nae.ila kesho uta gundua kuwa ulifanya uamuz sahihi kuachana nae tokana na mambo yake...
MAPENZ SAWA NA MCHEZO WA KUIGIZA.LEO UTAPEWA NAFAS YA KULIA KESHO UTA AMBIWA UCHEKE NA KUNA MDA UTAITWA CHIZI...YAANI HAYA TABIRIK
Mwaweza anza vizur afu kat kat au mwishon yakawa MACHUNGU
Mwaweza anza kwa misuko suko na mashaka mengi ila mwishoni mukaishia kuitwa NICE COUPLE yaan NDOA yenye.furaha na aman
Kuachana na yeye sio mwisho wa kupenda au kupendwa..bado kuna nafas nying zaid zinakuja mbele... Usimfanye akuzibie ridhik yako uliyo pangiwa na Mungu...muache aendele na maisha yake...
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz