NAPENDA KUWAKUMBUSHA PAMOJA NA KUIKUMBUSHA NAFSI YANGU* - EDUSPORTSTZ

Latest

NAPENDA KUWAKUMBUSHA PAMOJA NA KUIKUMBUSHA NAFSI YANGU*

Image result for UNAINGIA KWENYE MAHUSIANO; ACHA KUMLINGANISHA WA SASA NA WAZAMANI!
πŸƒ Ishi dunian kuwa kama mgeni au mpita njia
πŸƒKumbuka Umauti kila mda hakika umauti unakuja ghafla
πŸƒTenda mema kabla ya Umauti wako
πŸƒTumia uzima wako kwa kufanya mema kabla ya maradhi
πŸƒ Sali kabla hujasaliwa
πŸƒTubia kwa Allah kabla mlango wako wa tawba haujafungwa
πŸƒOmba maghufira kabla hujaombewa
πŸƒ Usijenge chuki au uadui na binadamu mwenzako bali jenga chuki na uadui na shetani ""
πŸƒKwani Allah anatuambia msifuate nyayo za shetani hakika yy ni Adui wenu Aliyewazi )
πŸƒUsimuhukum mwezako ""kwani anayestahiki
kuhukum ni Allah'Azz'wajala"
πŸƒUsimlani mwenzako 'kwani Anayestahiki kulani ni Allah subhana wataala
πŸƒUsimfichuliye mwenzako siri zake ""kwani Anayestahiki kufichua siri za waja wake ni Allah pekee yake Siku ya kiyama
πŸƒUsipeleleze wala usiulize yasiyokuhusu huenda ukaambiwa na ukachukia
πŸƒwacha kitu ambacho unashaka Nacho fauata kile ambacho huna shaka nacho
"sifa moja wapo nzuri kwa mwislam ni kutojihusisha nayasiyomuhusu
"Usimdharau mwenzako ukajiona ww ni bora zaid kuliko yeye"
*πŸƒUKUMBUSHO UTAWAFAA WAUMIN*
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz