MWANAUME AKIWA HANA MALENGO NA WEWE MNAWEZA MKATOBOA MWAKA BILA SHIDA ILA........! - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME AKIWA HANA MALENGO NA WEWE MNAWEZA MKATOBOA MWAKA BILA SHIDA ILA........!

Mwanaume akiwa hana malengo na wewe mnaweza toboa hata mwaka bila shida
Atakupigia simu,
Mta $-ex,
Mta enjoy maishaa..
Lakini siku utayoanza kumuambia habari za ndoa..
Sijui nipeleke kwenu..
Sijui utanioa lini, ,
Sijui nataka nikutambulishe nyumbani ndio siku atayokuacha!! Siku zote mwanaume asiye na malemgo akikutana na mwanamke mwenye malengo kuachana kwao kutaanza siku ambayo mwanamke ataanza kumwambia habari za ndoa!!
Dada angu ukiona unalijamaa umeishi nalo kwenye mahusiano hata 2 years baada ya kuongela ndoa akaanza kutoeleweka
Mara hapokei simu,
Mara akujibu anavyotaka,
Maraa ooh niko busy..
Mara ooh jana nilipitiwa na usingizi sikuona call yako...
Wala
Usiumize kichwa ujue hasi na hasi zimekutana!!! Alikuwa mzugaji tu!!!
Hakuna ndoa hapo..!! Wala usihangaike kumbembeleza maana ni kazi bure!!
Huwezi kumlazimsha nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi!!!jiongeze tu. #MkakaFulani
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz