MWANAMKE! USIMDHARAU MWANAUME HATA SIKU MOJA, UNAJUA KWANINI? SOMA HAPA. - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE! USIMDHARAU MWANAUME HATA SIKU MOJA, UNAJUA KWANINI? SOMA HAPA.

Image result for mapenzi wakubwa

Anae mzarau mwanaume anaijua kesho yake nawaheshim sana wanaume kwa majukum waliyonayo tungelikua tumeumbiwa wanawake    Hakuna ata mmoja ambaye angeweza kutimiza wajibu wake 
ndio hata sisi tunayo yakwetu ambayo nayo hawayawezi lakini hata vitabu vya dini mwanaume alipewa nafasi kubwa zaidi ya mwanamke, yaani kichwa cha nyumba,
ndiomaana cc wanawake tunapokua na uwezo ndani ki fedha kumzidi mwanaume tunawanyanyasa Sana waume zetu lakin fikilia kwann mwanaume anapokua na pesa anakuhudumia anavyojickia? 
 Poleni sana wanaume na hongereni Sana kwani mlipewa moyo wapekee Sana nawakubari Sana wanaume , unaweza ukamdharau leo halafu kesho keshokutwa ukakutana naye sio yule wa jana au juzi, hawa huwa hawatabiriki na Mungu huwatumia sana hawa kukufundisha wewe mwanamke kwamba maisha yanabadilika. cha Msingi heshimu mwanaume uliyenaye, mtengeneze awe kama yule unayemtaka wewe, na ujue kwamba Mwanaume bora haji kwa kushushwaa kutoka mbinguni anajengwa na Mwanamke wake,lakini pia wakati  unajitahidi kumjenga na kumtengeneza mwanaume wako Mshirikishe na Mungu Pia👇✍️
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz