HESHIMU SANA ULICHO NACHO WAKATI HUU MAANA KIKIONDOKA HUTOKIPATA TENA. - EDUSPORTSTZ

Latest

HESHIMU SANA ULICHO NACHO WAKATI HUU MAANA KIKIONDOKA HUTOKIPATA TENA.

Wanatusaliti tunawasamehe.
Wanapuuza mesejiπŸ’” zetu, tunatuma nyingine.
Tunawapigia simu,πŸ“žπŸŽ€. Hawapokei Tunapiga tenaπŸ˜‘
Tunacoment kwenye post na picha zao,hawajibu.
Tunawapost,hawatoi coment wala kuguswa.
Wanakasirika bila sababu, πŸ’πŸ, tunaomba msamaha.
Wanatoa ahadi hewa. Tunasamehe πŸ™‰πŸ˜ž.
Wanatuacha, halafu wanarudi kuomba nafasi ya pili, tunawapa.
Wanatuona bado tunakaa kimya tu.
Hata tukiwasaidia kazi za nyumbani au ofisini hawajali bado wanatuita mabwege.
.
Lakini kuna siku. Tutaamua kuwa mbali nao. Tutaacha kuwapost tutaacha kucoment tena picha zao wala kulike, hawatakuja tena kuona simu zetu, sms zetu,. Hatutakuja kuwasumbua tena. Kwa maana moyo mzuri unapochoka kuvumilia πŸ’”kamwe hauwezi kuundwa tena na hauwezi kurudishwa tena.πŸ‘ŽπŸ˜’πŸ˜­πŸ”’.
.
#UJUMBE_WANGU:Heshimu kile ulichonacho kwa wakati huu kwa maana kikiondoa hautokuja kukipata tena.,πŸšΆπŸ˜·πŸŒ„
Respect what you have now because once it is gone,🚢, you'll never see it again.😒
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz