USHAURI WA BURE KWA WANAWAKE WOTE; - EDUSPORTSTZ

Latest

USHAURI WA BURE KWA WANAWAKE WOTE;

Image result for mapenzi wakubwa
Ukiona uelewe itakuongezea MAARIFA lakini pia ukishindwa kuelewa UTAPATA TAABU SANA😅😅
Kwanza jitambuwe kwamba ulivyo umbwa MWILI WAKO WOTE NI UTU-PU kwa sababu kila Mwanaume kipo anachokipenda kwenye mwili wako, Kama MASHA ALLAH umejazia jazia hukwepi MAWINDO YA MWANAUME.
Lakini hata kama ni MWEMBAMBA Kuna ambacho utamvutia anayependa wembamba, Kwa ujumla Mwanamke uliumbwa KUMVUTIA MWANAUME kwa maana hiyo napenda ujue kwamba KUSITILI MAUNGO YAKO NI ULINZI TOSHA🔐
Lakini wanawake wa sasa kutwa mnalalamikia MAHUSIANO kwamba hayaleti Maana halisi ya UPENDO huku mkisahau UPOFU WENU UPO WAPI?
Siku wanawake hata akinunua skate👗 ya solo lazima uipitishe kwa fundi ibanwe kuendana na mwili wako😅😅😅
Wewe mwenyewe umejitengenezea njia ya KUTAMANIWA kumbe ukitamaniwa watu wakaonja na kusepa💃 kinachokuuma ni kipi?
Tayari unajua wanaume hawaridhiki halafu na wewe unawatamanisha unataka wakuangalie tu na jinsi ulivyoonyesha MAUNGO YAKO? Mwanaume anamuogopa Mwanamke anayejiheshimu na hata akipata ujasili wa kumtaka lazima atajipanga KUTOKUWA MUONGO ila kama ndo unanadi ubora wako wallah ACHA UTUMIKE TU ili ukija kushituka UBIBI USHAKUNASA😅😅😅

MAANDIKO KATIKA KITABU CHA WIMBO ULIO BORA:2
7. Nawasihi, Enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee Mapenzi, Wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe👏

Usiwashawishi wanaume kukutamani bali jisitili vyema ili UTAZAMWE KWA HESHIMA maana kwa kufanya hivyo utakuwa umejiheshimisha mwenyewe👌
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz