MAJANGA:Nimeamka Asubuhi Nipo na Mama Mkwe Kitandani...Nifanyeje? - EDUSPORTSTZ

Latest

MAJANGA:Nimeamka Asubuhi Nipo na Mama Mkwe Kitandani...Nifanyeje?


Image result for MAJANGA:Nimeamka Asubuhi Nipo na Mama Mkwe Kitandani...Nifanyeje?
Mdau Anaomba Ushauri Matusi Hapana

Heka heka la jana si mchezo kabisa, nilikata moto kama ngoma sita ilikuwa Bar moja nilienda na familia kupata burudani ya mziki live Band, sasa wife hakukaa sana na ilivyofika saa tano akasepa na watoto akaniacha na mdogo wake wa kike na mama mke ambaye ni mama mkwe.

Nikiri tu huyu mama ni mmama wa kimjini mjini na pombe nyama kwa sana tukiwa watatu pale mimi, mama mkwe na mdogo wake wife mida si mida mziki umekolea mdogo wake wife akaniamsha tukaelekea kwa Dance floor huku mama mkwe akiendelea kupiga vyombo.

Tumecheza muda si muda mama mkwe akamuita mwanae wakaongea then akasepa, Daah kuanzia hapo vitimbi vya mkwe wangu vikaanza akaniambia tuhame bar eti twende Hotel ambayo ina burudani na vyumba ikitokea mtu kazidiwa anaenda pindua, nikamuuliza Rachel yuko wapi mdogo wake sasa na wife akaniambia kuna mtu wake kamuita nikaona isiwe case japo nilianza kulalama nani ataendesha gari kuelekea huko anakotaka ile hali wote tuko chakari, akasema ni drive tu pole pole basi bana tumeelekea huko.

Ile tunapiga urabu wife kaanza kusunbua kupiga simu ikabidi mama ake ambae ni mkwe wangu apokee simu na kumtoa hofu bado wife akasisitiza muda umeenda na turudi, wakuu pombe zilinizidi na yule mama mkwe akanikokota mpaka chumbani wazee pombe kali si mchezo, nilisimamia show usiku sasa ndio nashituka usingizini na mama mkwe bado amelala pembeni hapa nimechukua simu missed calls 30 za wife.

Wakuu niko njia panda baada nifanyeje kuua msala huu, Najuta kuja ukweni huku, swala hili nitalisolve vipi ndugu zangu?
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz