CHUKUA HII ITAKUSAIDIA. - EDUSPORTSTZ

Latest

CHUKUA HII ITAKUSAIDIA.

No photo description available.

Kama vile wanapigilia misumari!
Kuna tofauti kubwa sana ya maana na mwitikio wa mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke.
Wanaume kawaida wanauwezo wa kutenganisha mwili na moyo
(Body and Heart)
Kwa upande wa wanawake tunaweza kusema wao wamekomaa kimapenzi kuliko wanaume kwa sababu kwao kutenganisha mwili na moyo inakuwa vigumu na wakati mwingine haiwezekani.
Mwanamke anapompenda mwanaume huanza na hisia za ndani za moyo wake moyo wake then hisia za nje za mwili wake;
wakati mwanaume anapompenda mwanamke huanza kupenda kuanzia hisia za mwilini mwake kwenda then hisia za moyo wake.
Ni rahisi mwanaume kukwambia anakupenda kumbe hakupendi anakutamani tu na wanawake wamekuwa wanaumizwa sana na wanawake kutokana na hii style yao ya kupenda kwa kumuweka mtu moja kwa moja kwenye moyo wake.
Utafiti mwingi unaonesha kwamba wanawake wengi huwa hawafurahii kufanya mapenzi na mwanaume asiyempenda;
wakati wanaume wanaweza kufurahia na kupata raha ya mapenzi ( kufika kileleni) hata kwa mwanamke asiyempenda.
Ndiyo maana mwanaume anaweza kutembea na mwanamke yeyote hata kama ni mbaya kila idara ukilinganisha na mke wake.
Ndiyo maana matukio mengi ya ubakaji hufanywa na wanaume.
Wanaume wanaweza kutenganisha upendo na kufanya mapenzi (love and sekx )
Wanawake hutazama kufanya sekkx ni kitendo cha ziada baada ya upendo wa kweli na wakati mwingine hufanya mapenzi ili kuimarisha mapenzi kwa mwanaume, wakati wanaume sekkx ni kwa ajili ya kufurahia tu siyo lazima awe anampenda mwaname anataka kufanya naye sekkx.
Kwa mwanaume kufanya sekkkx ni kitu kinachofanywa nje ya mwili (out-of-body experience ) kwa sababu viungo vyake vya kufanyia vya sekkkx vipo nje na anapofanya mapenzi anakuwa anafanya kitu kwa mtu mwingine ( mwanamke) kama vile kupigilia msumari kwenye ukuta;
Kwa upande wa wanawake viungo vya sE-ks vipo ndani ya mwili na kwao kufanya mapenzi ni kama kumkaribisha mtu ndani ya nafasi ya ndani yake, hivyo inakuwa ngumu kutenganisha mwili, moyo na hisia zake.
Kama ilivyo kwa watu wote kwamba mtu mgeni akiingia nyumbani kwako hutajisikia raha kwanza au hutajisikia salama hadi ufahamiane, ndivyo wanawake walivyo.
Kwa mwanamke kufanya mapenzi na mwanaume asiyemfahamu au mgeni au asiyempenda ni sawa na mtu anayeingilia mipaka ya shamba la mtu, (trespace )
Kumvamia mwanamke bila kuonesha upendo wa kweli ni sawa na kuvamia mipaka ya mashamba ya watu, au ni sawa na kuingia kwenye nyumba za watu bila kukaribishwa.
Hivyo wanawake kwao ni ngumu kutenganisha lov--e na s--e---kx
Wanapenda kuwa na ukaribu na mapenzi ya kweli ili kumruhusu mtu kuwa naye kitandani na kuingia kwenye nafasi yake ya siri kufanya mapenzi.
Ndiyo maana huwa wanajisikia kutumiwa na kuumizwa na mwanaume ambaye haoneshi upendo wa kweli.
Wanahitaji mwanaume anayewasililiza, anayewapenda, anayewajali, anayekuwa tayari wakati anamuhitaji, mwanaume anayebembelezam, mwanaume ambaye anajua kuwahudumia wao kama viumbe rasmi na maalumu Mungu ametoa zawadi kwa wanaume duniani.
Swali
Je Mumeo ni mwanaume anayepigilia misumari tu? au ni mwanaume anayeingia kwenye mipaka ya mashamba ya watu? au ni mwanaume anayeingia kwenye nyumba za watu bila kukaribishwa?
Jibu
Jibu unalo wewe kama ni mwanaume una kazi ya kufanya na kama ni mwanamke una kazi pia ya kufanya katika hili, Nawatakia ck njem njema
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz