JINSI YA KUTUNZA U*ME - EDUSPORTSTZ

Latest

JINSI YA KUTUNZA U*ME


*_Dhakari ni sehemu za siri za mwanaume, yaani U*ME._*
✍🏻```Ni jukumu la mke kumhimiza mumewe awe maridadi wa kujisugua vizuri aendapo chooni kukoga sehemu za juu na chini za utu-pu wake mbele na nyuma ili kuondoa harufu mbaya
✍🏻Pia mke unaweza kumuonesha mumeo mpenzi kwa kumkanda utupu wake (dhakar) kwa maji ya uvuguvugu na mafuta. Unachukua chetezo cha mkaa unapaka mafuta mikono yako halafu unaweka mikono yako katika moto halafu unamchua dhakar yake kwa kumkanda na mikono yako yenye mafuta na mvuke wa moto. Utafanya hivyo kwa dhakar na sehemu za chini ya dhakar pamoja na nyuma, yaani kumkanda makalio yake na kiuno.
✍🏻Pia unamkandia kwa mafuta yenye al-oud na pia ukimaliza hapo yale yale makaa unayatia udi kidogo utamfukiza lakini kwa njia ya moshi ili asilipate joto la moto akaharibika ngozi kwa joto.
✍🏻Na pia iwe dhakar safi imenyolewa nywele zote za sehemu ile ndio ikandwe na kuchuliwa na kufukizwa
✍🏻Utu-pu wa mume ni pambo kwa mke kama zinavotunzwa tu-pu za kike na tu-pu za kiume zinahitaji matunzo na usafi.
✍🏻Dhakar huvutia inapokua safi, haina nywele wala harufu mbaya, inanukia na imen'gara kwa unadhifu wake..
✍🏻Ngozi ya dhakar haitakiwi iwe imechakaa kavu km ngozi ya mzee
✍🏻Urembo wa dhakar ni kuchuliwa na mafuta, haisingwi. Dhakar inachuliwa kwa mafuta ya nazi safi inakua inakaa uzuri ngozi yake```
*Hiyo ndio dhakar inayowafanya wanawake wasitake wake wenza*
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz