Jifunze kuepuka MAPENZI YA MPITO! - EDUSPORTSTZ

Latest

Jifunze kuepuka MAPENZI YA MPITO!

Image may contain: one or more people
Kwanza kabisa leo sio siku nzuri sana kwa wanaume kwani Mwanaume atakayetongoza Mwanamke siku ya leo atakuwa kwenye hatari ya kulia baada ya siku hii, Kwa Mwanamke ambaye atamkubari Mwanaume katika siku hii atajutia baada ya siku hii kuisha... Unajua ni kwanini nimesema UEPUKE MAPENZI YA MPITO? Leo kila mmoja ana matarajio ya kuonyeshwa UPENDO! Akikosa kuona viashiria vya UPENDO ambao aliutarajia kwa vyovyote atapatwa hasira, Mwisho wa hasira ni KUMBUKUMBU... Jiulize unakutana na mtu mpweke na unamsemesha anakuitikia na ukimuonyesha MAHABA analainika JE UNAJUWA SABABU YA UPWEKE ULE? Penzi huwa haligawanyiki, Ampendaye hasa ndo aliyempa UPWEKE sasa wewe uwe PANADOL kwa siku hii ili akiishapona Kesho ataombwa msamaha na atarudi kwenye kumbukizi na hatimaye atalainika kama BAMIA hawezi kuwa mgumu kama makande mara chaliiiiii, Hapo utabaki peke yako MWENZIO ATAIPEPERUSHA BENDERA YA PENZI LAO! Hiyo inaitwa BAADA YA DHIKI FARAJA usije sema Elista mbona hakusema? Ndo nshasema hivyo, ngojea wale wenye kuyaharibu MAPENZI LEO ili kesho uje kupewa nafasi, Pambana na hali yako Mazeeeee...
HAPPY VALENTINE'S WANA ELISTA! Nawapenda.
#Elista_Kasema_ila_sio_sheria
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz