DADA ZANGU, NDOA YAKO IKIFIKISHA MUDA HUU UJUE TAYARI IMESHAVUNJA NA UNGO KABISA..(SOMA UTAELEWA} - EDUSPORTSTZ

Latest

DADA ZANGU, NDOA YAKO IKIFIKISHA MUDA HUU UJUE TAYARI IMESHAVUNJA NA UNGO KABISA..(SOMA UTAELEWA}

Love is in the air! Beautiful young African couple sitting close to each other and looking through a heart shape made with their fingers Stock Photo - 54727966

Dada zangu, ndoa ikishafikisha miezi tisa basi jua kuwa ndoa yako ishavunja uongo, ni wakati wa kuacha kuwaza kitoto toto na kuwaza kiutu uzima. Ni wakati wa kuchagua mambo ya kulalamika na kuachana na visirani ambavyo havina maana.
(1) Acha kulalamikia vitu kama hajakumbuka siku yako ya kuzaliwa!
(2) Acha kulalamikia vitu kama yupo online na hachart na wewe!
(3) Acha kulalamikia vitu kama hapendi kuongozana na wewe!
(4) Acha kulalamikia vitu vingine vyote mabavyo hata asipovifanya watoto hawatashindwa kula, kusoma na matibabu.
Sio kama vitu hivi si muhimu katika ndoa, ni muhimu sana na ni raha ukifanyiwa, lakini kama ndoa imefikisha miezi tisa, umelalamika sana na bado hakufanyii hivi vitu basi jua kuwa hatafanya, huyo ndivyo alivyo mchukulie hivyo hivyo, ukizidi kulalamika wewe ni kisirani tu!
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz