WEWE MDADA! LEO NATAKA UJIJUE KAMA WEWE NI MWANAMKE AU MSICHANA HEBU PITIA HII. - EDUSPORTSTZ

Latest

WEWE MDADA! LEO NATAKA UJIJUE KAMA WEWE NI MWANAMKE AU MSICHANA HEBU PITIA HII.

Dear girl hii ni yako japo najua hii post utaipita kushoto na moyoni utahisi kibonde kachanganyikiwa ..chukua kama somo ujijue ww ni mwanamke au msichana
1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.
2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao.
3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu.
4. Wasichana hufikilia kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo.
5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi). .
6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo.
7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa.
8. Msichana “anajifunza” ila Mwanamke “anajua” na ndio maana wasichana wengi wanafeli sana katika mahusiano.
Sasa ukiona unatabia nyingi za usichana kuliko za kiunamke ujue tu huwez kuendesha ndoa/utaachwa tu/hutaweza kuvumilia lolote/na ni nadra sana kuolewa mpk akili zao zishtuke/hivi unajua pia mwanamke inabidi ujifunze sana kupambana kuliko kutegemea kuhongwa/unajua kwann nawaambia hivyo usininukuu vibaya kibonde maana yangu ni hii ukizoea kuhongwa sanaaaaa ukachukulia kawaida hutaweza kuzitafuta pesa..akili yako italemaaa mazoea yatajenga kawaida hata moyo wa kupenda utakufa kwako kipaumbele kitakuw pesa tu/sasa hii ni mbaya kwa mwanamke mwenye future ya ndoa..cos kwenye ndoa mukiiiahiwa kidogo huwezi kuvumilia utaenda kuvua chupi nje ili ukale kuku kisa mume ndani kafuria /huwez kuwa mvumilivu na always sifa namba moja ya mke ni uvumilivu trust me/na mwanamke aliyezoea kuhongwa atahangaika kutafuta mume mwenye pesa ili aendleee na kawaida ya kula raha anasahau kuwa maisha yanabadilika/kwenye maisha ni rahisi sana kurudi hatua kumi nyuma kuliko kusonga tatu mbele/kwenye maisha yako jifunze sana kuwa mwanamke kuliko kuwa msichana/ukiwa msichana hutaona thamani ya ndoa/ndio wale wadada wameolewa lakin kutwa kupika vichips ndani..yaani mumeo kila siku umempikia vichips!/ukichoka unaenda kumnunulia chipsi/wakwe wakija unaenda wanaunulia chipsi/ukiwa hivi ujue sooon ndoa itakushinda/mke atamtengeneza mumewe kuwa tafu na kumpa ideal za kupiga mpunga #kibonde
Counsellor

Image may contain: 1 person, standing
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz