-->

Type something and hit enter

On...............................................................
BISAI..mwanamke niliyempenda kuliko wanawake niliowahi kuwaingiza ndani ya moyo wangu.
Mwanamke niliyejua kiu ya tumbo lako bila kukumbuka la kwangu.
Mwanamke niliyekufundisha nini maana ya mapenzi na utu.
Bisai hili somo la utu.haukulielewa vizuri.
Upo Masasi nipo Dar.lakini nilijiona tupo jirani.unaamka asubuhi unaniuliza mme wangu leo nakula nini? Nakupa kula unaridhika.
Kumbe nilijidanganya.
Unaniaga unaenda safarini na huko unapoenda network hakuna.usiku nakupigia simu Bisai inaita lakini haupokei.mwishowe unazima haipatikani.
Nikasema ulipo network hakuna.
Bisai kumbe ulinidanganya.umeenda kumpokea bwana ako na kulala nae kwenye chumba ambacho nalipia kodi.
Umepata mwanaume sawa lakini analalamika kitandani ufanyi vile anavyotaka.BISAI wewe sio fundi wa mapenzi.
Nilikukuta na mwanaume wako.nikapata na ushahidi.lakini sikufanya kitu.ujui tu hila nikiwa safarini nilimuomba sana Mungu aniondolee roho ya ukatili.
Bisai mimi mvumilivu najisifu.lkn elewa sio wanaume wote marofa.ndugu zako walitaka faini niwalipe nilikubali.mimi sikuwa rofa.
Leo na jana umeshinda wewe.hila mwambie Juma mapenzi yanaua.
Asijiamini sana.yanaweza kumkuta.

Kaka mkuu


Click to comment
 
Blog Meets Brand