HII NI YENU WANAUME - EDUSPORTSTZ

Latest

HII NI YENU WANAUME

Mwanaume asie jua kumbembeleza kumdekeza mkewe na asie kuwa mbunifu katika mapenzi huyo ni mwanaume butu,mwanamke pamoja na mambo yote utakayomfanyia iwe ni kumpa pesa kumvisha nguo za gharama kiasi gani kumpa zawadi za aina gani na mambo mengine yanayofanana na hayo,kama utashindwa kumbembeleza,kumdekeza na kuwa mbunifu katika suala la mapenzi lazima atakuona butu.Wanaume wengi wanazani pesa zao mali zao majumba yao ni funguo ya kumridhisha mwanamke na akampenda kuliko mwanaume mwingine,ndugu yangu wee jidanganye tu ipo siku kijana wako wa ndani ndie atakuwa anamridhisha mkeo kwa kila kitu,ipo siku dereva wako au dereva wa mkeo atakuwa ndie mwanaume anae mridhisha mkeo kwa kila kitu.
Labda ni waambie kitu wanaume ambao mnaona kuwa mwanamke ukishamuoa basi tena umeisha maliza kila kitu,my brother jifunze kushughulika sana kwa mkeo ubunifu katika mapenzi unamtengenezea hisia kali mkeo za kuendelea kukuwaza kila iitwayo leo,kingine pia hata dini inasema kuwa "mwanaume amrizishashae mkewe hasa katika suala la mapenzi huyo ni mwanaume bora kuliko" sasa wewe ni nani ambae hutaki kumridhisha mkeo.
Jambo jingine ni kumdekeza na kumbembeleza mkeo hili ni jambo ambalo lina ongeza amani na furaha katika moyo wa mwanamke,hili jambo linaweza kumfanya mkeo akawa ana matamanio zaidi ya kimapenzi kwako,na hili jambo pia linaweza kumfanya mkeo akawa karibu zaidi nawewe.
Pesa zako zitaridhisha tu tamaa ya mwanamke na si moyo wake,ndio maaana unaweza kukuta mwanamke mumewe anapesa mali na majumba ya kutosha na bado akawa atulii pesa ya mumewe kuhonga mwanaume ili airidhishe tu nafsi yake,apate penzi lenye kukidhi au kukonga moyo wake.#kibonde
Counsellor
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz