Wanaume wengi tunapenda wanawake wazuri. Lakini huwa hatujiulizi kuwa kwanini macho yangu yamemuona mzuri? - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanaume wengi tunapenda wanawake wazuri. Lakini huwa hatujiulizi kuwa kwanini macho yangu yamemuona mzuri?

 Amini nnachokueleza kuwa siku zote nyani kwao porini ukimuona mjini kaletwa. Wanawake wengi wanaolewa lakini sio kwamba hawana watu. Ila wana watu ambao hawana malengo ya kuwaoa Hata mwanaume pia anaweza kuwa na mtu ambae hana malengo ya ndoa kwa muda ule. Kuwa makini unaweza kuwa na ndoa alafu usiishi maisha ya ndoa na unaweza kuwa huna ndoa alafu ukaishi maisha ya ndoa. Vuta SUBIRA mwema yako yapo yanakuja.
Urembo wa nje ni ziada
Mwanamke wa kuishi nae ni yule aliye jiandaa kuwa mama wa familia na kubeba majukum kama mama
Mwanamke wa sitarehe ni yule ambae anaamin kuwa uzur wa sura yake na mavaz ndivyo vitamfanya umpate mwanaume yoyote... Huyu ni aina ya mwanamke ambae mpaka leo ana amin kuwa kila akitaka kula chips kuku lazima awapigie wanaume kadhaa watume pesa..
Kesho hao wanaume wanatangaza ndoa na wanawake wengine tena wenye mwonekano wa kawaida
DÀDA
Usiseme umerogwa ndo maana huolewi
Umejiroga mwenyewe kwa tamaa zako za kupenda vya bure bila kujishughulisha... Usitegemee kiungo chako kiumizwe ndipo uweze kula na kuvaa vizur




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz