KUTORIDHISHWA AU KUTOFIKISHWA KILELENI, LIMEKUWA JANGA KUBWA SANA KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA SIKU HIZI. - EDUSPORTSTZ

Latest

KUTORIDHISHWA AU KUTOFIKISHWA KILELENI, LIMEKUWA JANGA KUBWA SANA KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA SIKU HIZI.

KILELENI
Wanawake wengi walio ktk NDOA na ambao hawajaolewa wanashida sana ya kuto fikishwa kilelen wanapo kuwa Faragha na wenza wao... Hali imepelekea mpaka baadhi yao kujiingiza ktk mapenz ya jinsia moja ( kusagana) au kujichua kwa kutumia vitu kama KAROTI na TANGO
Mwanamke anaweza kuwa ametembea na wanaume 6 au zaid toka aanze mapenz lakin ukute ni mmoja au 2 kati yao ndiye alimfikisha kilelen...au hakuna kabisa
Mwanamke kutofika kileleni
Hii inatokana na sababu nying kama
_wanaume kutowandaa vizur
_wanaume kuwa na uume mdogo
_wanaume kuwah kumwaga
_wanaume kuchoka haraka
_kama kuna ugomvi ambao haujasuluhishwa kat ya mwanaume na mwanamke..
_kuketwa kwa mwanamke(akimpata mwanaume Fundi nae hufikishwa tu)
Mwanamke
Akiandaliwa vizur
Akakunwa vizur mda mrefu
Anapo kojoa mwili huishiwa nguvu
Raha atayo ipata hailezeki
Kisha uhisi kulala usingiz
Kijana mwenzangu
Ukiona umemaliza kaz afu mwanamke anatafuta rimot ya TV, anachukua simu kucheza game
Hapo jua bado hujampa Alicho kitaka
Kumridhisha mwanamke
Sio lazima mufanye eti usku kucha au siku nzima,Mara mwanaume uende raundi 5..zote za nini? Kwan mashindano au kukomoana?
Sio lazima uwe na nguvu au uume mkubwa na mrefu..waweza kuwa na kibamia au kidogo tu ila ukamtoa ulimi na choz la furaha mwanamke mtu muzima...kuwa mbunifu
Waweza funga goli 1 ulilo litafuta ndan ya dakika 20_40 afu mwanamke hamu yake yote ikaisha....yaan yeye anakuwa amefunga hata goli 3 mfululizo...
Usijisifie umefunga goli 4 wakat mwanamke wako hata 1 hana,hapo jua umejifunga wewe tu.
Zingatia
Kuna wanawake wanawah kufika kilelen,yaan akichezewa kidogo tu basi ,na wengine huchelewa mpaka utoe jasho..hivyo elewa wako ni wa aina gan..
Mwisho
Mwanamke anapo fikishwa kilelen hujisikia raha na mwenye furaha kuliko yule ambae Anaburuzwa tu na kuachwa na Ashiki zake...
Image may contain: 1 person, wedding
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz