USIKURUPUKE KUTAFUTA MUME/MKE SUBIRI WAKATI WA BWANA NDIO WAKATI SAHIHI. - EDUSPORTSTZ

Latest

USIKURUPUKE KUTAFUTA MUME/MKE SUBIRI WAKATI WA BWANA NDIO WAKATI SAHIHI.


Wewe haitakiwi usimamishwe na kila mtu! Kuna mtu ambaye MUNGU amemkusudia awe mke wako. Ukikosea hayo mahesabu utapata the wrong partner! Itakuwa ni kama mtu aliyevaa viatu vya kushoto vyote.
Leo Hii kwenye ndoa watu waliowaoa/waliolewa nao sio chaguo la MUNGU wala sio kusudi la MUNGU walio wengi walimtangulia MUNGU wakafanya mbinu mbinu ili wapate waume/wake.
Kuna wamama hii leo wanaishi Jehanamu ya TANZANIA sababu walipata mume asiye sahihi! Subiri wakati wa BWANA.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz