HIVI UNAJU ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UCHUMBA NA MATOKEO YAKE. - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI UNAJU ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UCHUMBA NA MATOKEO YAKE.


1. Ni dhambi ya makusudi hivyo Mungu anakuona kabisa.
2. Ndoa hiyo itakuwa ya mashaka na kuhisiana kuchepuka yaani kutoaminiana
3. Unaweza kuzaa naye na usimpende Tena
4. Ni kosa kijamii
5. Heshima yako itashuka
6. Utajilaumu bada ya kutenda hivyo
7. Husababisha kuanza kuwa malaya na kuishi kwa mchepuko mkeo mara akibailika kidogo tu ndani ya ndoa
8. Kutakupa kuwaza tamaa na si Upendo tu, hivyo baada ya hilo kinachofuata ni kutendana.
9. Matokeo yake ongezeko la Single-Mother
10. Kuzaria nyumbani (Watoto kabla ya Ndoa)
11. Kufanya Ngono kwenye uchumba husababisha kutokuwa huru kumwacha inapotokea umegundua hakufai kitabia, hapo kama alishashika mimba, basi ni kilio na majuto
12. Husababisha wimbi la wasiotamani ndoa kuongezeka na kuongeza wanaotegemea Ngono za Mitaani wakisingizia uchumba
13 Mkiachana na kila mmoja akaupata ndoa na mwingine ni rahisi shetani kuwatumia ninyi kuzivuruga ndoa zenu kwa kuzini mkidai mnakumbushia (kama hamkuwahi msingekuwa na la kukumbushia)
NIMEKUAMBIA, UJINGA UNAFANYA MWENYEWE MWISHO UANZE KULIALIA HAPA ETI AMENITELEKEZA NA MIMBA, KWANI UMEKANYAGA ALIPOIWEKA? IMEKUJAJE KWAKO KAMA SI MWENYEWE ULIKUBALI KUFANYA MAKOSA?
/Mtia-Moyo-Ezekia-113618173407986/posts/
ili kupata masomo ya mahusiano, uchumba na Ndoa.
Share au sambaza ujumbe huu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz