SOMA HII NIKWELI kabisa na Mimi nimeona kwao sio story - EDUSPORTSTZ

Latest

SOMA HII NIKWELI kabisa na Mimi nimeona kwao sio story

Image may contain: 1 person
Kuna kijana moja alikuwa ni MTU wa mwanza alitoka mwanza akaja Arusha kutafuta maisha alipo fika Arusha alikuwa hamfaham MTU hapa Arusha,alipo fika alikuwa ana pesa lakini akawa analala stend ya mabasi cku zingine alala sokoni akaendea kusonga na maisha akawa anabeba mizigo pale soko kuu akaamua kuchukuwa chumba cha udongo akaendelea na maisha baada ya miezi sita akakutana na Dada ambaye alikuwa anafanya kazi A TO Z kampuni ya kutengeneza net kipo Kule kisongo wakaanza mahusiano, wakapendana sana lakini bint alikuwa anampenda kijana sana .yule Dada Siku moja akaamu kutoka na boyfriend wake wakaenda mahali kunywa soda wakawa wanabalishana mawazo lakini yule Dada akamuliza boyfriend wake unatamani kufanya kazi gani? Kijana kajibu nataka kufanya biasha ya kuuza matunda, yule dada akamuliza unahitaji sh ngapi ili uweze kuwanza biashara yako? Kijana kajibu elefu 50000, yule Dada akachukuwa pochi akachomoa laki moja akampati yule kija.Kijana akashukuru sana.baada ya hapo kila MTU akaendea na mambo yake huku mawasiliano yakiendea,baada ya cku chache wakutana tena.yule Dada akamuliza boyfriend wake VP biashara unapata sh ngap faida kwa siku kijana kajibu elfu 15000 yule akamwambia zidisha Mara 30 utapata sh ngapi kwa mwezi kija kajibu laki tatu 350000. Yule dada akamjibu naomba kila siku uwe unanipa elfu 10000 nikuwekee ili nikupe mwisho wa mwezi. Kija kakubali, bada ya mwezi wakakutana tena yule dada kampatia kijana laki tatu kijana kashikuru sana, kijana akaenda kuendea na biashara. Kijana kapata mafanyikio kumshida yule Dada HAPO NDIPO KIJANA KANZA KIBURI NA KUWANZA KUMDHARAU YULE DADA akawa hapokei simu tena akawa anamtukana matusi na lugha chafu kwasababu tayari anapesa yule dada akawa Analia sana huku akiendea kumuomba mungu pia akiendea kufanya kazi zake huku kijana akila bata na mademu wengine. Siku moja yule Dada akamua kwenda pale kija anapo fanyia biashara alipofika tu akaanguka chini na kumlilia sana lakini kijana ataki kumuelewa dada yule aliumia sana masikini wa mungu basi Dada akaondoka kwa majonzi sana nakijana naye akaendea na ishu zake baada ya cku chache yule kijana akapata ajali mbaya sana mwili iliaribika sana akarudishwa kwao mwanza yule Dada naye alikuwa akiendea na mambo yake UJUMBE KAMA Unajua huna malengo na MTU usitumie chochote kilicho chake maana ni dhambi. Kama umelewa ujumbe huu shera uwezavyo ili wengine wajifunze
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz