MAPENZI YA WAPENZI. - EDUSPORTSTZ

Latest

MAPENZI YA WAPENZI.


Asilimia 73.7 ya binadamu washirikio mapenzi hufanya mapenzi sababu wamepata muda wa kuwa pamoja na sio kuheshimu fikra zao?
Acha nikupe tafakuri ili nawe usiwe mmoja kati yao na uepuke madhara makubwa.
KUMBUKA
Katika hali ya kawaida kutosheka kupo lakini ukiiruhusu akili yako kutosheka na sio mwili kwa kuwa tamaa ya mwili haiwezi kuisha mwilini ila akili ya mtu, ukiyaendekeza mawazo yako kufanya mapenzi mara kwa mara hata ikiwa kila saa mwili utachoka kwa kuwa fikra zako hukaa katika kile unachopata na sio unachotaka.
TAMBUA MADHARA YA MAPENZI
•ukiachana na mimba zisizotarajiwa ambazo tunaita ni baraka kwa jambo lenu mlilo litenda kumbuka kuna nyingi mfano:-
1.Kujizeesha
Hii hukufanya mwili kuchoka haraka kutokana na uchovu uupatao baada ya kufunga goli/kupizi/kumwaga hufanishwa na mtu atembeaye kilomita nyingi au hata kufanya kazi ngumu sana na ikiwa utafanya mapenzi kila ujisikiapo au umuonapo mpenzi wako yapaswa kujiuliza ni namna gani mwili wako utakuwa chakavu kwa muda mfupi
2.MAGONJWA
Hapa huwa ndio tatizo siku zote pindi mtu afanyapo mapenzi kwa mazoea na siku akikosa hutumia njia mbadara ambazo huweza kumletea madhara, kwani kule alikoamua kwenda kuipoza ashiki yake kukawa ndio kuokota magonjwa na kuyaleta kwako.
•Usifanye mapenzi ukiwa umelewa au kunywa vinywaji vikali kwakuwa mara nyingi ukiacha kukuchanganya akili bado vinywaji hivi huzichoma baadhi ya sehemu za mwili wako na huenda sio leo ama kesho kutwa ila sumu, ikafanya kazi na ukasikia mtu alikufa kwa kuanguka tu.
Kwa msingi huo mtu ukitaka kutosheka na penzi la mpenzi wako, ni lazima kwanza uitosheleze akiliyako na kile anachopata, kwani Wengi wanaodai hawatosheki kimapenzi ni wale wanao achia akili zao zitake tendo la ndoa zaidi, bila kuangalia uwezo, nafasi,hisia na afya yao ya kukutana kimwili.
Usiwe teja wa mapenzi kwa kuwa sio chakula kusema ukikosa utakufa ila kumbuka ukiendekeza utadhurika na mwisho utakufa.
Danifordy ben
+255655888890




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz