Thamani ya chozi la Mwanamke........ - EDUSPORTSTZ

Latest

Thamani ya chozi la Mwanamke........

Image may contain: 1 person

Siku zote huwa naumia sana ninapoona mwanamke akilia. Kwakuwa hawa ndio mama zetu , dada zetu na pia wake zetu na wana umuhimu mkubwa mno.....

Siku zote mwanamke huwa na moyo wa huruma sana na hata akikosewa huumia na kulia hali ambayo hufanya awe mnyonge

Linapokuja suala la mapenzi mwanamke hupenda kweli kwa kuwa mazingira ambayo mwaname hujenga hufanya aaminishe moyo wake kuwa wewe mwanaume uko serious naye tofauti na hapo hubaki akilia..

Siku hizi wengi wamekata tamaa hasa katika uhusiano kwakuwa pengne amekutana na usaliti unaomfanya alie na kuyachukia mapenzi..

Kwanini wanawake hulia na kuumia!? Jibu n rahisi tu hupenda asipo pendwa na kwa wakati usio wake!

Siri ni hii..... Mwanaume hutamani kwanza kabla ya kupenda tofauti na mwanamke ambaye hupenda na sio kutamani...

Ushauri;
Kwakuwa usaliti umezidi ni vema mwanamke ujue haya ili kutofautisha mapenzi na tamaa....

1. mwanaume aneyekupenda hawezi kukutaka kimapenzi siku hiyo hiyo.... i mean hatataka ngono na wewe.. Ukiona anakwambia hivo jua tu akishakula atakuacha tena bila hata kuosha vyombo......tofautisha kati ya anayekupenda na anayekutamani ili akutumie aende zake. Ukiona um anasema et mpka umpe penzi ndio uwe nae jua tu hakuna kitu
Penz la kweli husubiri ....

Pia binti acha kukubali et akufunue ndio aje akuoe hiyo ni hatari akisha timiza adhima yake anapotea hii ndio siri ya mwanaume.

2...binti acha kuwa mwepesi.... sorry kwa kutumia hili neno wengi wanaweza kuchukia... I mean mwanaume alijaliwa akili ya ushawishi hvo kma hutakuwa makini utajikuta unaishia kulia... Mwanaume huwa na maneno matamu kama asali ya kiangazi ya huko Singida ila mwisho maneno haya hugeuka kuwa uchungu na shubiri pale uhusiano utakapoishaa...

Jifunze kutofautisha kati ya tamaa na upendo au mapenzi ya kweli.... Laa sivyo kulia itakuwa sehemu ya maisha...

mwanaume usidanganye kuwa unapenda kumbe nia ni kula vya watu ili usepe bora kusema ukweli kuliko kuaminisha moyo wa mtu akaja kulia katika maisha.. hiyo ni dhambi kubwa sana na Mungu anakuona

mapenzi yaliumbwa na Mungu ili watu wafurahi na kuwa na amni siyo mateso.....
love with with care
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz