NYEG* NI RADHA YA NDOA - EDUSPORTSTZ

Latest

NYEG* NI RADHA YA NDOA

❤️Hichi ndicho kiwango Mahusiano
❤️Radha ya Mapenzi iko katika kutambua dalili za nyege za Mke/Mume wako .
❤️ Kuridhishana ni Urafiki imara katika NDOA
Mkeo anazoweza kukuonesha dalili zifuatazo kama anataka kufanya Mapenzi . Hivyo Mume jifunze kuzitambua nyakati 👇
1. Kama anazungumzia kuhusu Tendo la NDOA uwapo naye (Hapa hasa po pote pengine outings , MAPUMZIKO Sebuleni kwenu 👉
Kama anaongea kwa kujiamini na ana uhuru wa kutaja mambo mbalimbali yanayohusu Tendo la NDOA, kama mkao anaofurahia zaidi wakati wa Tendo la NDOA, maitundu ya kumridhisha kingono pamoja na mambo mengine ya kujiridhisha wakati wa Tendo la NDOA kama vile sauti ya mahaba, tambua kwamba anataka uendeleze mada hiyo mpaka mjikute mnafanya Tendo la NDOA.
Akiamua kuizungumzia kwenye maongezi yenu, yawezekana akawa anakupa ishara kwamba yupo tayari kwa Tendo hilo – kilichobaki ni kuomba.
2. Kama ghafla anavaa nguo zinazoacha maungo yake wazi
Njia rahisi ya kumshawishi Mume wake kulifanya Tendo la NDOA ni pale Mke anapovaa nguo za kichokozi, zinazoacha baadhi ya maumbile yake wazi. Kama umezoea kumuona akiwa anavaa nguo rasmi na ghafla akavaa nguo zinazoacha baadhi ya maumbile yake wazi mkiwa kwenye mtoko au miadi yoyote, basi jiongeze – sio lazima akwambie kwakuwa Wanawake wengi hawawezi kumwambia Mume wake kuwa anataka wafanye mapenzi.
3. Kama anakualika Chumbani
Baadhi ya Wanawake wanapojisikia kufanya mapenzi wanaweza kuwaalika Chumbani Wwume zao ili mfanye anachokitaka bila kulazimika kukwambia lolote.
Atatandika kitanda, kukupikia chakula unachokipenda au kukupa Romance ili ulegee kidogo na kisha muendelee kutokea hapo.
4. Kama anavutiwa na mambo mengi kutoka kwako (Mume Jiongeze kumsoma Mkeo
Kama anaonesha kuvutiwa zaidi kuliko ulivyozoea siku zote, unatakiwa kujua kwamba yupo tayari kufanya mapenzi na Wewe kwa siku hiyo.
Yawezekana akionesha kuvutiwa na Wewe kwa kukulegezea sauti au anavyotembea mkiwa mmebaki Wawili. Joto la mwili wake linapoongezeka au macho yanapomlegea zaidi. Hii haimaanishi kwamba unatakiwa kumchunguza, ila jaribu kuzingatia kwa makini mabadiliko yanayotokea kuanzia mazungumzo mpaka mwili.
5. Kama anakugusa sehemu zinazokusisimua
Mke anaweza kuamua kukuonesha kuwa yupo tayari kufanya mapenzi na Wewe kwa kushika sehemu za mwili wako ambazo zinakusisimua kama masikio, shingo, mapaja, kifua au miguuni.
#ITIMISHO 👈Ni sahihi Mke anakua na sababu maalumu mpaka anafanya mapenzi ila nyinyii Wanaume ikipatikana place tu munaliamsha dude.😄😄😄😄😄
❤️Ndoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏 NA MALAZI YAWE SAFI 🙏 MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13: 4)
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz