Mambo yaletayo nguvu katika tendo la ndoa|special: Wanandoa πŸ‘‚πŸ‘ˆ pekee. - EDUSPORTSTZ

Latest

Mambo yaletayo nguvu katika tendo la ndoa|special: Wanandoa πŸ‘‚πŸ‘ˆ pekee.


-chukua asali mbichi na tangawizi ya unga,mdalasini ya unga,hilili ya unga,kungumanga mchanganyiko iliyosagwa au kwa kuisaga mwenyewe,tumia yote kwa vipimo sawa ila unga kwa ujumla uzidi kipimo cha asali kwa mfano asali ikiwa lita moja unga wa vitu hivyo uwe ziada ya nusu yake.kisha utakuwa unakunywa kwa kila siku kwa kadri unavyoweza.lakini kipimo cha asali lita moja,matumizi yake yasiwe chini ya siku tano.
-chukua mbegu za vitunguu maji na kuziponda vizuri na kuchekecha,kisha utachanganya unga wake na asali,kisha utakunywa kila siku asubuhi.
-Anayetaka kufanya maajabu katika tendo la jimai,atapaswa kuchukua mafuta ya ngamia na kupakaza katika G3 ya kiume muda mfupi kabla ya tendo,kisha amuingilie mkewe,atakuwa na nguvu za kutosha na kumpa raha mkewe.mafuta hayo atapaswa kusugua kiasi katika tupu yake Mume.
Chagua mojawapo Ewe Mwanandoa.
❤️Ndoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE πŸ™ NA MALAZI YAWE SAFI πŸ™ MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13: 4)
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz