TAARIFA ZA AWALI KUHUSU HALI YA MO SALAH - EDUSPORTSTZ

Latest

TAARIFA ZA AWALI KUHUSU HALI YA MO SALAH

Mshambuliaji wa liverpool na timu ya taifa ya misri jana alipata maumivu katika bega lake la kushoto baada ya kuchezewa vibaya na Sergio Ramos dakika ya 20 ya mchezo huo.


watu wengi walitaka kujua hali ya mchezaji huyo wa timu ya taifa ya misri kama ataweza kuwa sawa kabla ya mashindano ya kombe la dunia.


BBC waliweza kutoa taarifa za awali ya kwamba huenda akakosa fainali za kombe la dunia baada ya mfupa mdogo wa bega kuwa umehama katika eneo lake.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz