NCHI YA RWANDA WAINGIA UBIA KUIDHAMINI ARSENAL - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD EDUSPORTSTS NEWS APP HAPA

Wednesday, 23 May 2018

NCHI YA RWANDA WAINGIA UBIA KUIDHAMINI ARSENAL

Wachezaji wa Arsenal pichani wakitangaza fursa za utari nchini Rwanda 

Leo klabu ya arsenal imemtangaza kocha wake ambae ni UNAI EMERY kocha wa zamani wa Psg kumrithi arsenal wenger.

Lakini dunia imepata mshangao baada ya nchi ya rwanda kuwa moja ya wadhamini wak klabu hiyo kwa msimu ujao.

Lengo la udhamini huo ni kukuza utalii wa rwanda ,huku ikielezwa Rais ya nchi hiyo paul kagame ni moja ya mashabiki lialia wa Arsenal.

kupitia ukurasa wa instagram wa Arsenal wameweza kupost picha  zenye jezi ambazo watatumia msimu ujao huku kwenye bega kukiwa na wadhamini hao ambapo zimeandikwa "visit Rwanda"