MAMBO 8 MUHIMU USIYOFAHAMU KUELEKEA KOMBE LA DUNIA RUSSIA-2018 - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO 8 MUHIMU USIYOFAHAMU KUELEKEA KOMBE LA DUNIA RUSSIA-2018

Badhi ya wachezaji wanaotegemewa kufanya vizuri msimu huu wa kombe la dunia
1. wachezaji hawaruhusiwi kufanya mapenzi.
hii ipo katika baadhi ya nchi ambazo huwa wanafanya hivyo mfano wa nchi hizo ni mexico, Brazil, spain, Germany,Chile, hawaruhusiwi kufanya muda wa mashindano kwani wanaamini ni kuharibu nguvu za wachezaji.

2.Asilimia 50 ya idadi ya watu duniani ambayo ni 7.05 billion hutazama mashindano haya nchi zote duniani
3.Zaidi ya Bia million 3 hunywewa katika sehemu za viwanja.
-mfano south Africa mwaka 2010 zaidi ya lita 750,000 sawa na Bia (3,170,064)

4.Mshindi wa mashindano hupewa  $35billion.
-hii huwa kama zawadi baada ya timu kushinda katika mashindano hayo ambayo huchezwa kwa muda wa mwez mmoja

5.Kombe la dunia huongeza vizazi vipya kwa nchi inayoandaa mashindano
-mfano ujerumani baada ya miez 9 kwa kumalizika kwa kombe la dunia 2006 idadi ya watu iliongezeka kwa asilimia 10%

6.Timu iliyofungwa goli nyingi,
-El salvador walifungwa na hungary (10:1)  kewnye hatua za makundi ,kombe la dunia mwaka 1982.

7.Goli la haraka zaidi na kadi nyekundu ya haraka.
-Mturuki Hakan sukur ndio anashikiria rekodi hii ambapo alifunga goli sekunde ya 11 kwenye mechi ya  Uturuki vs korea kusini na uturuki walishinda goli 3:2

-Kadi nyekundu ya haraka zaidi alipewa Beki mahiri wa Jose Batista katika sekunde ya 56 ya mchezo kwa kumchezea rafu mbaya Gordon strachan.
8.Brazili ndio nchi ambayo imetumia kiasi kikubwa zaidi kuandaa mashindano haya ($14.5 billion dollars)
Nchi nyingine zilizotumia pesa kubwa ni:-
1994 (USA)-$30M
1998(France)-$340M
2002(Japan & korea)- $5billion
2006(Germany)- $6billion
2010(South africa)- $4billion
2014(brazil)-$14.5billion


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz