RONALDO AKANUSHA UJIO WA NEYMAR MADRID - EDUSPORTSTZ

Latest

RONALDO AKANUSHA UJIO WA NEYMAR MADRID

Staa wa Real madrid christiano ronaldo amekanusha huenda neymar akasajiliwa na  Madrid kwa kipindi hiki cha usajili.

Ronaldo aliulizwa swali kwenye interview na mwandishi wa habari Josep pedrerol ambapo alimuuliza Ronaldo kama ifuatavyo
"Tutegemee wewe na neymar mkicheza pamoja msimu ujao"?

Ronaldo kama alipata kigugumizi kujibu swali hilo na alimjibu mwandishi kama ifuatvyo 
"kunakuwa na tetesi mpaka 50 lakini mwisho wa siku hakuna mchezaji ambae anasajiliwa ukizingatia nipo madrid kwa miaka 9 sasa"

Kutokana na majibu Ronaldo alionekana kama anakanusha taarifa hizo kwamba madrid hawatamsajili Neymar.

pia Rais wa PSG Nasser al khelaifa amesema  mchezaji huyo hataondoka pia kocha mpya Tuchel amemshawishi abaki katika miamba ya Paris.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz