GUZMAN MRITHI WA ROMEU WORLD CUP - EDUSPORTSTZ

Latest

GUZMAN MRITHI WA ROMEU WORLD CUP

Goli kipa namba mbili wa Man united na kipa namba moja wa taifa la argentina ROMEU.

Ameondolewa katika kikosi cha Argentina baada ya kupata maumivu ya goti lake la kulia akiwa mazoezini na timu ya taifa.

Sampaoli ambae ni kocha wa argentina amemuondoa katika kikosi hicho kitakachoshiriki kombe la dunia nchini Russia na GUZMAN kipa mwenye umri wa miaka 32 amechukua nafasi ya ROMEU.

Guzman ambae ni kipa wa klabu ya TIGRE inayoshiriki ligi kuu nchini Argentina akiwa ameshinda mataji 6 ya ligi na tigre.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz