MBWANA SAMATTA AJITOLEA KWA NCHI YAKE - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Wednesday, 23 May 2018

MBWANA SAMATTA AJITOLEA KWA NCHI YAKE


Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anaecheza soka la kulipwa ulaya katika klabu ya genk ya nchini ubelgiji ,kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza jambo jema kwa nchi yake.
MBWANA SAMATTA ameamua kujitolea kuwa balozi wa Elimu nchini ili kuhakikisha elimu ya watanzania inakuwa na tija.

Aidha mbwana samatta katika kuhakikisha hilo amesema atacheza mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Taifa.

Amesema mapato ya mchezo huo yataenda katika kuendeleza miundo mbinu ya Elimu ili watanzania wapate elimu iliyo bora.