KOCHA "CHANZO CHA MAJI MAJI KUFANYA VIBAYA VPL" - EDUSPORTSTZ

Latest

KOCHA "CHANZO CHA MAJI MAJI KUFANYA VIBAYA VPL"


vpl leo itaendelea na ratiba yake katika michezo ya mwisho ya kumalizia ligi, huku mshike mshike ikiwa katika timu ambazo zipo katika hatari ya kushuka daraja.

Ndanda na majimaji leo mmoja lazima atamfuata njombe mji ligi daraja la kwanza kuafuatia njombe mji tayari ameshuka daraja.

Ndanda anacheza dhidi ya stand united pale nangwana sijaona pia majimaji atakuwa pale songea kukipiga na mabingwa wa vpl simba sc.

lakini majimaji itategemea na matokeo ya ndanda ambayo atayapata dhidi ya stand united, pia yeye ashinde kwa simba.

wakati ligi inafika mwisho kocha msaidizi wa majimaji Habib kondo amesema chanzo cha majimaji kuwa na msimu mbaya mwaka huu ni kwamba "timu ilikuwa na hali mbaya kiuchumi , timu ilikuwa haiwezi kujiendesha kama mpira unavyotaka pia ameeleza sababu nyingine kwamba ni migogoro ndani ya klabu kwamba wachezaji na viongozi hawana mahusiano mazuri.

Pia amesema wachezaji wanadai pesa zao za mishahara pamoja na posho ambazo ni malimbikizo ya muda mrefu.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz