SUAREZ FAIR PLAY KWA MO SALAH - EDUSPORTSTZ

Latest

SUAREZ FAIR PLAY KWA MO SALAHBaada ya mohamed salah nyota wa liverpool na timu ya taifa ya Misri kupata majeraha ya bega katika mechi ya fainali dhidi ya Real madrid

tetesi nyingi ziliibuka ya kwamba anaweza kukosa michezo ya fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Russia zikiwa zimebaki siku 17 tu.

Lakini jana kupitia ukurasa wake wa twiter Mo salah aliweza kuwatoa mashabiki wengi wa soka dunia ya kwamba atashiriki michuano hiyo.

Luis suarez nyota wa barcelona ambae pia alikipiga liverpool kwa mafanikio aliweza kutoa pole kwa Mo salah na anamuombea apone haraka na arejee kwenye hali yake.

Suarez na Mo salah wapo kundi moja (A) katika fainali hizo

Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz