Type something and hit enter

By On
Boniventure Kaheza
Mshambuliaji wa Majimaji ya Songea, Marcel Boniventure Kaheza amesaini mkataba wa awali wa miaka miwili kwa mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Simba Sc. Kaheza ambaye alikuwa anawindwa na vilabu vya Azam na Singida amesaini mkataba huo kabla ya mchezo wa Majimaji na Simba jumatatu may 28.

Boniventure ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakiliumiza vichwa benchi la ufundi la Simba kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwa timu nyinginezo, hasa Yanga, Singida United na hata Azam FC, zilizokuwa zikimpigia hesabu kumtwaa kutokana na kuvutiwa na kiwango chake.
credit to SOKAKIGANJANI

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment