ALICHOKIZUNGUMUZA NAPE NNAUYE LEO BUNGENI - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 9 April 2018

ALICHOKIZUNGUMUZA NAPE NNAUYE LEO BUNGENI

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
WEKA EMAIL YAKO HAPA KUTUMIWA HABARI


Delivered by EDUSPORTSTZ
Mbunge Wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, Amesema Kuwa Wapiga Kura wa Mikoa Ya Lindi Na Mtwara Walitegemea Kupata Neema Kubwa Kutokana na miradi Ya Gesi, na ndiyo Jambo Ambalo walilipa kipaumbele katika ilani ya chama cha Mapinduzi. Mbunge Nape amesema kuwa ameshangaa kuona kuwa Waziri mkuu, Kassim Majaliwa, hajalizungumzia kabisa suala hilo kwenye hotuba yake ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu aliyoiwasilisha bungeni.

Bofya hapa kutazama  video hiyo
Subscribe to EDUSPORTSTZ

Chanzo. Globalonlinetv

No comments:

Post a Comment