AZAM WATOKWA POVU MATOKEO MECHI YAKE DHIDI YA MBEYA CITY - EDUSPORTSTZ

Latest

AZAM WATOKWA POVU MATOKEO MECHI YAKE DHIDI YA MBEYA CITY

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Weka Email yako hapa kutumiwa habari


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ



Baada ya mchezo wa ligi kati ya Mbeya City na Azam FC kwenda suluhu ya bila kufungana katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, uongozi wa Azam waitupiwa lawama Mbeya City.

Kupitia Afisa Habari wa Azam, Jaffer Idd Maganga, alisema kuwa wachezaji wa Mbeya hawakuwa wanacheza mpira kupata matokeo bali walipambania pointi moja.

Maganga alieleza kuwa wapinzani wao walikuwa wanatumia muda mwingi kupoteza muda huku akieleza kuwa walikuwa wameridhika ilihali wao walikuwa wanapambana kujipatia alama 3 muhimu.

Azam iliambulia alama moja kwenye mchezo na kuzidi kusalia katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi kuu bara ikiwa na pointi 45 huku ikicheza jumla ya michezo 23 mpaka sasa.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz