TOWNSHIP ROLLERS WAWASILI KUMKABILI YANGA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Sunday, 4 March 2018

TOWNSHIP ROLLERS WAWASILI KUMKABILI YANGA

Vinara wa Ligi ya Botswana, Township Rollers wamewasili nchini majira ya mchana wa leo kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga.


Township Rollers wamewasili wakiwa na kumbukumbu ya kusonga mbele kufuatia kuwaondoa AL Merrikh kwa mabao 4-2.

Mchezo dhidi ya Yanga utapigwa Machi 6 2018 katika Uwanja wa Taifa, kuanzia saa 10:00 jioni.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ