AL MASRY TAYARI KWENYE ARDHI YA TANZANIA KUMFATA SIMBA - EDUSPORTSTZ

Latest

AL MASRY TAYARI KWENYE ARDHI YA TANZANIA KUMFATA SIMBA

Kikosi cha Al Masry kimewasili asubuhi ya leo nchini kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho
Afrika dhidi ya Simba SC utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumatano ya wiki kesho.

Al Masry wametua nchini na kupokelewa na basi la Azam FC ambalo liliwapeleka moja kwa moja katika hoteli waliyopanga kufikia.
Waarabu hao walifuzu kuendelea na mashindani hayo baada ya kuwafunga Wazambia, Green Buffaloes kwa mabao 5-2.

Mchezo wao dhidi ya Simba SC utachezwa Jumatano ya Machi 7 2018, majira ya saa 12:00 jioni.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz