SIMBA WAENDELEA KUJINOA KUMKABILI MBAO FC - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA WAENDELEA KUJINOA KUMKABILI MBAO FC
Vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba wataendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani.


Simba inaendelea na maandalizi yake ili kurejea Ligi Kuu Bara kwa kishindo tayari kuwavaa Mbao FC.

Vinara hao watakuwa wenyeji wa Mbao FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumatatu.Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Simba wanaongoza wakiwa na pointi 42, wakifatiwa na watani wao Yanga wenye 37
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz