MABADILIKO YA MECHI YA LIPULI NA NDANDA FC - EDUSPORTSTZ

Latest

MABADILIKO YA MECHI YA LIPULI NA NDANDA FCImage result for NDANDA FC
Image result for LIPULI FCImage result for NDANDA FC

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa
uchezwe Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara sasa umesogezwa mpaka Jumapili Machi 4,2018 na utachezwa kwenye Uwanja ule ule wa Samora.

Sababu za kusogezwa mbele kwa mchezo huo ni kuipa nafasi Ndanda FC kusafiri kutoka Mtwara baada ya mchezo wao na Yanga ambao sasa umepangwa kuchezwa Jumatano Februari 28 ,2018 kwenye Uwanja wa Nangwana Sijaona, Mtwara.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz