RAIS WA TFF WALLACE KARIA APEWA KIBARUA KIZITO NA CAF - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 12 January 2018

RAIS WA TFF WALLACE KARIA APEWA KIBARUA KIZITO NA CAF

Image result for wallace karia

Usiku wa January 11 2018 kutoka Casablanca Morocco zimeripotiwa good news kwa Rais wa
shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia kuteuliwa na shirikisho la soka Afrika CAF kuwa kamishna wa game ya CHAN.

CAF wametangaza kumteua Wallace Karia kuwa kamishna wa game ya ufunguzi wa michuano ya CHAN itakayochezwa katika mji wa Casablanca January 13 2018 kati ya Morocco dhidi ya Mauritania.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ