HATIMAYE MAOMBI YA WAPENDA SOKA YAJIBIWA, SAMATTA KUREJEA TENA UWANJANI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 12 January 2018

HATIMAYE MAOMBI YA WAPENDA SOKA YAJIBIWA, SAMATTA KUREJEA TENA UWANJANI
Unaweza kusema ni habari njema kwa kuwa afya ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aimeimarika kwa kiasi kikubwa na sasa anaweza kupambana uwanjani.


Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji alikuwa nje kwa takribani miezi miwili akiuguza goti lake lakini sasa amerejea uwanjani na anacheza soka la ushindani.

Kabla ya kurejea uwanjani, Samatta alianza kujifua kwenye gym ya klabu hiyo, baadaye akatumia vifaa mbalimbali akiwa katika usimamizi wa daktari.


Baada ya hapo alirejea uwanjani lakini alikuwa akifanya mazoezi mepesi kabla ya sasa kuingia uwanjani na kupambana kabisa


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ