DAU WALILOTANGAZA MAN U KUMCHUKUA SANCHEZ HUKU WAKIWAPIKU MAN CITY - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 12 January 2018

DAU WALILOTANGAZA MAN U KUMCHUKUA SANCHEZ HUKU WAKIWAPIKU MAN CITY
Manchester United sasa imeamua kutibua ‘pilau’ la majirani zao Manchester City kwa kutangaza nao kumtaka mshambuliaji Alexis Sanchez.


Man City ndiyo wamekuwa wakipambana kumpata Sanchez na walisema wako tayari pauni million 20 kumsajili.

Lakini Man United chini ya Jose Mourinho nao wameibuka na kusema wake tayari kumnasa Sanchez huku wakisema pamoja na fedha, watamtoa kiungo wao Henrih Mkhitaryan.Pamoja na mchezaji lakini Man United imesema itatoa pauni milioni 25 ambazo ni zaidi ya zile za Man City.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ