WAJUE WASHINDI WALIOTWAA TAJI KATIKA TUZO ZA CAF 2017 PAMOJA NA TEAM BORA YA MWAKA AFRIKA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Friday, 5 January 2018

WAJUE WASHINDI WALIOTWAA TAJI KATIKA TUZO ZA CAF 2017 PAMOJA NA TEAM BORA YA MWAKA AFRIKAUSISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

Shirikisho la soka barani Afrika CAF usiku wa Alhamisi ya January 5 2018 jijini Accra Ghana limetangaza mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017, Mohamed Salah wa Misrianayeichezea Liverpool ya England ndio ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo.Salah amewashinda staa wa Gabonanayecheza Borussia Dortmund Pierre Emerick Aubameyang na staa mwenzake wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ