Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar imefikia kunako hatua nzuri kwani tayari kuja baadhi ya vilabu vinekwisha kukata tiketi ya kuonda katika mashindano hayo.
Msimamo kundi A. Jamhuri na Mwenge wameaga mashindano rasmi..Wawili kutinga nusu fainali. Nani kati ya Azam, URA na Simba?
Msimamo Kundi B: Mlandege, JKU, Taifa Jang’ombe na Zimamoto zimebakiza mechi moja tu.
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI
Post a Comment