MWANASOKA WA TANZANIA ANAYECHEZEA UJERUMANI AANZA MAZOEZI RASMI - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 9 January 2018

MWANASOKA WA TANZANIA ANAYECHEZEA UJERUMANI AANZA MAZOEZI RASMI

Beki wa kikosi cha VfB Eppingen cha Ujerumani, Mtanzania Emily Mugeta ameanza mazoezi ya gym.
Mugeta ameanza mazoezi baada ya kukaa nje ya uwanja tokea Aprili, mwaka jana alipoumia.

Mugeta aliyewahi kukipiga Simba na Polisi Morogoro aliumia siku chache baada ya kutangazwa kwenye kikosi bora cha mwezi cha Ligi Daraja la Tano nchini Ujerumani.

Akizungumza na SALEHJEMBE kutoka nchini Ujerumani, Mugeta amesema tayari ameruhusiwa kuanza mazoezi mepesi.

“Daktari kaniruhusu kuanza mazoezi ya gym. Itakuwa ni tayaratibu halafu ninatwenda naongeza kasi kutokana na maelekezo yake.“Haukuwa wakati mzuri kwa kuwa nimekaa nje kwa miezi sita naa kwa sasa,” alisema.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment