MWANASAYANSI WA KWANZA KUTUA MWEZINI AKUTWA NA MAUTI NCHINI MAREKANI - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANASAYANSI WA KWANZA KUTUA MWEZINI AKUTWA NA MAUTI NCHINI MAREKANI


John Young alifanya safari yake ya kwanza na Gemini 3 mwaka 1965

Mwanasayansi wa safari za anga za juu raia wa Marekani John Young ambaye alisafiri kwenda mwezi mara mbili na kuhudumu kama kamanda ya chombo cha kwazza cha safari za anga za juu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.

Young alikuwa mtu pekee kuwai kushiriki safari za anga za juu za Gemini, Apollo na Space Shuttle.

Wakati mmoja pia alipata umaarufu kwa kusafirisha kisiri nyama kwenda safari ya anga za juu kwa mwnsasayansi mwenzake kama zawadi.John Young, kulia, alikuwa rubani wa chombo cha kwanza mwaka 1981

Young alistaafu mwaka 2004 baada ya taaluma ya miaka 42. Nasa wanasema kuwa alifariki siku ya Ijumma kutokana na ugonjwa wa kichomi.
Mfumo wa sayari unaofanana na wetu wagunduliwa

Baada ya kuzaliwa huko San Francisco mwaka 1930 alipata shahada ya uandisi kutoka taasisi ya Georgia Institute of Technology na baadaye kuhudumu kama rubani wa jeshi la wanamaji wa Marekani.Young, katikati, alishiriki katika safari ya Apollo 10

Alijiunga na Nasa mwaka 1992 na mara ya kwanza kusafiri kwenda anga za juu mwaka 1965 wakati wa safari ya Gemini 3.

Mwezi Mei mwaka 1969 Young alikuwa miongoni mwa wanasayasansi waliosafiri kwa chombo cha Apollo 10 kama jaribio la safari ya kwenda mwezini kwa chombo cha Apollo 11 miezi miwili baadaye

Young baadaye alitembea kwa miguu mwezini mwaka 1972 kama kamanda wa safari ya Apollo 16.John Young ametajwa na Nasa kama mwanayasanyi mwenmye ujuzi wa juu zaidi

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
BOFYA HAPA CHINI KUJIUNGA NA SHINDANO LA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz