BARCELONA WATAMBULISHA BEKI MPYA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Sunday, 14 January 2018

BARCELONA WATAMBULISHA BEKI MPYA


Beki wa kati kutoka nchini Colombia, Yerry Mina ametambulishwa rasmi katika timu yake mpya ya FC Barcelona.
Mina ametua Barcelona kwa usajili wa kitita cha pauni million 10.5 akitokea Palmeiras.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka mitano na nusu na anakuwa aria wa kwanza wa Colombia kuichezea Barcelona.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ